Juu na chini ni Rev.Michael Okututi akiongoza ibada ya marehemu Bertha Asia Nsekela mtoto wa dada yao Eliza na Pamela Luhanga aliyefariki June 1, 2013 Tanzania. Ibada imefanyika Jumapili June 9, 2013 Lanham, Maryland nchini Marekani.
Juu na chini ni Eliza Luhanga akielezea historia ya marehemu na kuwashukuru watu wote kwa kuja kujumuika nao tangia siku ya kwanza walipopata taarifa ya msiba.
Pamela Luhanga akifuatilia historia ya marehemu iliyokua ikielezwa na mdogo wake Eliza Luhanga.
Watanzania waliojumuika na wafiwa wakifuatilia ibada.
Lemmy Mhando na Julius Katanga wakijumuika pamoja na wafiwa kwenye ibada ya Bertha Nsekela iliyofanyika Jumapili June 9, 2013 Lanham, Maryland.
Watanzania waliojumuika na wafiwa wakifuatilia ibada.
Ibada ya kumuombea marehemu Bertha Nsekela ikiendelea.
Watanzania waliojumuika pamoja na wafiwa wakifuatilia Ibada.
kwa picha zaidi bofya read more
3 comments:
Pole sana Elizabeth na Pamella. Mungu awatie Nguvu sana.
Hivi huyo kaka kwenye picture ya nane ni nani jamani huwanamuonaga tu amevaa miwani ameoa au?
duh mdau hapo juu uko mawindoni hata kwenye msiba?
Post a Comment