Advertisements

Monday, June 10, 2013

Suffering For Success..Halafu Mseme Nawaroga

Diamond Platnumz Posted this Picture Today on his facebook wall and wrote " Suffering For Success..halafu Mseme Nawaroga"
To be honest I like the way this dude perform his shows kuanzia kuimba na hata anavyocheza na dancers wake ambao wote ni wanaume....Jamaa amejipanga sana sijaona msanii yeyote wa bongo flava aliyejipanga kama huyu......Nikilinganisha na wasanii wengine ambao wakipanda jukwaani hakuna jipya zaidi ya kuimba na kucheza kidogo.....

Sikubaliani kabisa na wale wanao sema diamond anaroga...Kazi yake inaonyesha dogo kajipanga...Wengine wataendelea kusubiri sana, Nukuu kutoka Bongo Flavor Music Blog.

No comments: