ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 16, 2013

TANZANIA NA IVORY COAST MPIRA UMEKWISHA TANZANIA 2 IVORY COAST 4

TAIFA STARS
IVORY COAST

Kwa sasa ni mapumziko katika mechi ya kufuzu kucheza kombe la dunia mwakani nchini Brazil ambapo Ivory Coast wanaongoza kwa mabao matatu wakati Stars wakiwa na mabao mawili. Mabao ya Stars yamefungwa na Amri Kiemba pamoja na Thomas Ulimwengu.

No comments: