Advertisements

Tuesday, July 9, 2013

BEYONCE TICKETS FOR WASHINGTON DC SHOW AVAILABLE NOW !

TICKET ZIMEBAKI 16 TU.....WAHI YAKO HARAKA
   
TICKETS AVAILABLE ALL SEATING LEVELS
KWA BEI NA MAELEZO TAFADHARI PIGA SIMU
  
                          ALL  TICKETMASTER  LOCATIONS  ARE  SOLD  OUT
                        YOU CAN ONLY BUY BY CALLING DMK @ 301-661-6207

5 comments:

Anonymous said...

luke inabidi uweke vitu vya akili kweli ndiyo maana tunaambiwa watanzania tuna matatizo sasa kama ticket sold out umeweka tangazo la nini? hata bei yenyewe haujaweka mnaleta mambo yenu ya uswahili uswhili tu

Anonymous said...

hivi wabongo tuna problem gani sijui hivi wewe anony kusoma hujui au?mbona tangazo linasema kwa bei na maelezo piga simu au hujaona hapo?pia limesema all ticketmaster locations ticket zimekuwa sold out ila unaweza kupata ukimpigia huyo jamaa DMK,sasa kama unaona wanadanganya basi neda ticket master ukaulizie kama zipo ukizipata then njoo hapa umwambie Luka kuwa katudanganya.tunapenda sana ku criticize sie watanzania hasa wa DC maana hii lazima ni mtu wa DC maana ni KIhiyo huyu,hahaha Luka tafadhari usiibanie hii napita tu kwenye blog yako naipenda.

Anonymous said...

we mdau wa kwanza tangazo linasema "ticketmaster" locations ndo ziko sold out. inaonekana wewe hata concert uchwara hujawahi kuhudhuria maana hata ticketmaster huijui.

ila sisi watanzania wa DC tuko very quick kukosoa, hatupendi maendeleo ya watu wetu, wivu tu umetujaa. majungu kwa kwenda mbele. mie nimekaa hapa DC over ten years back in days tulikuwa na umoja ila kuna watu wameingia mujini kwa pupa wengine hata social hawana, ila kwa kuchonga tu na kujifanya wanajua kuliko. WATANZANIA WA DC TUBALDILIKE!

Anonymous said...

wewe anon hapo juu una mkwanja wa kwenda kumwona beyonce au maneno mengi tu

Anonymous said...

Weeeh Anonymous ina mana kusoma hiyo Flyer hujui au kiswahili na kingereza kwako kazi pia kama hunapesa nyamaza kimya.