ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 13, 2013

KAMATI NA TANO LADIES WAMUAGA SHILOLE, POTOMAC, MARYLAND.

Katibu wa kamati ya Vijimambo na tamasha la Utamaduni wa Kiswahili Marekani na mmoja wa Tano Ladies, Asha Nyang'anyi akiongea machche Ijumaa July 12, 2013 alopotoa nyumba yake kwa ajili ya kuwaaga wasanii Shilole na Masanja ambao walikuja Marekani kwa ajili ya Tamasha la utamadunu wa Kiswahili Marekani.
Mume wa Asha Nyang'anyi katika picha ya pamoja na Shilole.
Tano Ladies kwa niaba ya wenzao wawili ambao hawakuwepo Jana wakipata picha ya pamoja na msanii Shilole.
Mwenyekiti wa kamati, Baraka Daudi katika picha ya pamoja na Shilole.
 Wageni waalikwa wakibadilishana mawazo
kwa picha zaidi bofya read more


4 comments:

Anonymous said...

Afadhali waondoke tumechoshwa na habari zao kutwa shilole , masanja

Anonymous said...

Msemaji hapo juu nakuunga mkono vijimambo kuna mambo mengi ya kuripoti ambayo ni ya msingi sio kututaarifu huyu leo kala kwa huyu kesho kwa huyu tunajichoresha

Anonymous said...

Kumbe Katanga ana mtoto wamefanana sana.

Anonymous said...

Acha roho mbaya