ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 2, 2013

MASWALI NA MAJIBU KUTOKA KWA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA MKUTANO WA RAISI KIKWETE NA OBAMA HAPO JANA

Maswali na majibu kutoka kwa waandishi wa habari kwa Barack Obama Rais wa Marekani na Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Tanzania

6 comments:

Anonymous said...

Jamani sijui kama nimeelewa vyema ila kuna human yaliyotokea Washington DC upende wa Tanzania kuhusu human trafficking hivi karibuni amaa?? Naomba aliye elewa au anaye jua kilichotokea atiririke tafadhali, asanteeeni.

Anonymous said...

Tanzania is in such a sorry state and Kikwete is part of that old illness that needs to go... and quickly.

Anonymous said...

HABARI HII IMENUKULIWA NENO KWA NENO KUTOKA GAZETI LA 'THE WASHINGTON POST' LA JUMATANO TAREHE 2 MAY 2007
Ex-Worker Sues Envoy Of Tanzania
Network News
By Ernesto LondoƱo
Washington Post Staff Writer
Wednesday, May 2, 2007
A Tanzanian woman brought to the United States by a diplomat at his country's mission in Washington is suing the envoy and his wife, alleging that they treated her like a slave in their Montgomery County home for more than four years, failed to pay her and physically abused her.
Diplomats in the United States have broad immunity from civil and criminal prosecution, but plaintiff Zipora Mazengo's attorneys say they hope the case will be allowed to proceed because the woman worked for the couple's catering business, which they argue should strip the two of immunity.
The suit, filed late last month in federal court in the District, states that Alan S. Mzengi, a minister at the Tanzanian Embassy, and his wife, Stella, forced Mazengo to work 16-hour days, seven days a week, from June 2000 until she fled in August 2004.

Anonymous said...

Mtoa maoni namba moja google hiyo taarifa www.thewashingtonpost.com utaipata. Siyo siri hata magazeti ya TZ yaliandika.

Anonymous said...

raisi wetu alionekana.ku beg sana...like plz plz we need help plz....sikufurahia sana coz kwa upeo wangu tuna mengi mazuri thats why they come to tz as well....

Anonymous said...

mimi kwa maoni yangu rais wetu angetakiwa kuongea kiswahili kila mtanzania aelewi nini kilichokuwa kinaongelewa hasa hili la human trafficking,rais ilionekana anababaika kuongea kingereza,unajua lugha kama siyo ya kwako na ukashukiziwa swali utaanza kukubabaika tu kama ilivyotokea kwa mheshiwa