Winfrida akiwa na mumewe Kessy kwenye baby shower yake iliyofanyika Jumamosi July 13, 2013 nyumbani kwa baba yake Brigedia Jenerali Maganga, Silver Spring, Marland.
Winfrida katika picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki waliokuja kwenye baby shower yake wakitokea Pennsylvania
Winfrida katika picha ya pamoja na Melisa(shoto) pamoja na Omby
Kessy (wapili toka kushoto) katika picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki.
Brigedia Jenerali Maganga katika picha.
Wageni waalikwa katika picha ya pamoja,
Afisa Ubalozi Mindi Kasiga (kulia) katika picha ya pamoja na Mrs Malasy.
Madj wakitoa burudani ya muziki wa disko.
Juu na chini wageni waalikwa wakiburudika na muziki wa Disko.
kwa picha zaidi bofya read more
4 comments:
ombi pendeza saanaa,mm penda wweee.mdau from columbus ohio
Kumbe hata Marekani mnarudirudia nguo? na sisi wabongo tufanyeje? nguo zenyewe bei chee halafu mnarudi!
Kwani wewe inakuhusu nini kama mwanamke au mwanaume kweli ungeweka jina lako ili ujibiwe vizuri toa hela basi wewe tayari watu wakanunue nguo kwani mtu akirudia nguo si yake inakuhusu but kama angerudia beyonce ni sawa u need 2 go 2 school weka picha zako basi tukuone na visempele vyako mshamba wewe.
Na ole wako Luke usi post hiyo comment niliyoituma kama uliweza ukaaa ukaona ni vizuri ku post hiyo comment hapo juu sasa na hiyo comment yangu ui post la sivyo utaona huu mji mchungu I dare u luke
Post a Comment