Zama umeuliza maswali mazuri sana na wewe nakuaminia sana ila huyu binti-LuLu hakuwa anayajibu maswali kama ulivyo yauliza na ukamwachia tu, Halafu sasa Lulu anajibu bila kufikiria kitu ambacho nimegundua. Na pia alikuwa hakuangaliii machoni muda mwingi that tells me she is hiding something right there. Goodluck to you Lulu.
2 comments:

tunataka waandishi wa habari walio tulia namna hii
Post a Comment