ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 7, 2013

Balozi wa Vijana wa Tanzania (East African Coommunity ) ndani ya Newyork.

Mwakilishi wa katibu mkuu wa umoja wa mataifa kwa vijana Bw. Ahmed Alhendawi alipokutana na Raymond Maro balozi wa Tanzania kwa upande wa vijana kwenye jumuiya ya afrika mashariki 
.
Raymond Maro akiwa na mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa mataifa Flora Nducha.
Raymond Maro ndani ya jiji la Newyork akijionea jiji lisilolala.

No comments: