ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 7, 2013

MHADHIRI WA CHUO KIKUU UDSM AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI JIJI DAR

Patrick Rweyongeza, Mhadhiri (College of Engeneering) UDSM, ameuawa leo kwa kupigwa na risasi. 

Tukio limetokea majira ya mchana maeneo Magomeni TANESCO wakati marehemu akielekea mjini ambapo watu waliokuwa wamepakizana kwa pikpiki kumfuata na kumfyatulia risasi kisha kutokomea. 

Haijafahamika kama kuna uporaji uliofanyika au la.

No comments: