
Wasanii lukuki wa muziki wa kizazi kipya usiku wa jana wamewapatia burudani wakazi wa Tabora kwenye show ya Fiesta iliyofanyika kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi. Miongoni mwa mambo yaliyozalisha shangwe la kufa mtu ni pamoja na Amini kumbusu mdomoni mpenzi wake wa zamani Linah waliyependa naye kwenye stage.
3 comments:
Ujinga tu huu. Sasa mnajifanya kuwa akina Miley Cyrus kuonyesha ujinga barabarani!! Angalieni waliowatangulia, waliimba na kuwa maarufu bila kujidhalilisha!! Mpya gani hiyo au ulimbukeni!
huyu Linah si ni mchumba wa DMK au?
ndo uzungu huo LOL
Post a Comment