MSIBA-MSIBA-MSIBA
DMV
Mchungaji
Ferdinand SHIDEKO wa kanisa la “The
Way Gospel Ministries, College Park - Maryland” amefiwa na kaka yake,
Ndugu Emmanuel SHIDEKO
huko Kahama, Shinyanga,
Tanzania, LEO ALHAMISI, SEPTEMBER 5, 2013 SAA 1:00PM
Msiba uko nyumbani
kwake:
406 GREENLAWN DR, # 200
HYATTSVILLE, MD 20783
Kama
ilivyo kawaida yetu, ukipata muda mpigie simu # 240-476-6718 au mtembelee nyumbani kwake ili kumpa pole kwenye
kipindi hiki cha majonzi.
Kwa taarifa zaidi
piga simu namba:
240-645-2131 au 240-505-7223
No comments:
Post a Comment