Rais Jakaya Kikwete leo amefanya mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika mkutano wa saba wa kimataifa wa nchi za maziwa makuu, unaofanyika Kampala, Uganda.



Marais hao wamekutana wakati ambapo uhusiano kati ya nchi hizo mbili unaendelea kuzorota.

3 comments:
One of these guys is trying to rich out while the other cares more about the camera man. Is it our culture to avoid eye contact with our adversaries or just a reconciliatory gesture?
Kiwete meno yote nje ,kama alikua anamuogopa vile kashukuru yanaisha
Personally, I care less about Kagame. He is such a weird and fake dictator. Hata smile ya ni feki na anaonekana bado anayo hasira, especially baada ya Rais wetu kuwatimua wanyarwandwa nchini kwetu. Don't apologize to Kagame,Mr. President. He doesn't deserve it. Kagame has sput lots of bullshit to our president and needs to weeped!
Post a Comment