Viongozi CCM DMV wakijadiliana jambo kabla ya kikao cha Faragha na Mhe. Rais Kikwete leo Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani.
Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete Mwenyekiti CCM Taifa akielekeza jambo katika kikao chake na uongozi wa CCM DMV. Kikao hiki kimefanyika leo Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akimsalimia Bwana George Sebo mwenyekiti wa CCM DMV.
Mhe. Rais Kikwete akiwa na Bwana DMK Mkurugenzi wa MMK MEDIA GROUP: Swahili TV, Swahili Radio na Swahilitv Blog. Picha zote na Swahili TV.
1 comment:
Haya ndiyo mambo yanayowaudhi watu wengi. Kiongozi wa serikali anapokuja nje ya nchi priority ni kukutana na Watanzania kwanza kwani ndiyo anaowawakilisha then akutane na viongozi wa chama. Watanzania hatujawahi kupewa nafasi ya kuonanan na viongozi wetu kwa muda mrefu sasa wakija wanaitana na wanaitikadi wenzao sijui huko hotelini na inaishia hivyo hivyo. Balozi tunakuomba utupe nafasi WATANZANIA tuonane na Raisi hatuhitaji chakula but he needs to hear our voices. Tuna mambo mengi tunataka kujua kinachoendelea haswa issue ya dual citizenship alituahidi many years ago kuwa itakuwa his priority.
Post a Comment