ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 4, 2013

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Akifurahia Jambo na Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward Lowassa

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward  Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 3, 2013. Katikati ni waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward  Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 3, 2013. Katikati ni waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: