Zifuatazo Ni baadhi ya picha za tukio zenye shuhuda ..
Askofu Maboya akimuombea mama aliyeponywa kansa, na aliyemshika nyuma aliponywa sikio lake pale pale

Mama pichani akifanyiwa operation ya titi lililokua likimsumbua kwa muda mrefu na kusema hasikii maumivu tena

Mtumishi wa Mungu Clement Mboya akitafsiri kwa Kingereza kwa wageni

Navo Machibya aliimba

Baada ya Matendo Makuu ya Mungu na shuhuda watu wakimsifu Mungu

Pastor Melchzedek Matulu naye alikuwepo

Pastor Igogo na Ency Mwalukasa pia walihudumu

Pastor Eric na Sharon
Vaileth, Moulin na Mary
Tunamshukuru Mungu Strictly Gospel kuweza kuandaa Mkutano huu, tunatarajia makubwa zaidi kwa Utukufu wa Mungu. Kuhudhuria maombi yetu Na Neno la Maarifa kila Ijumaa 9E/8C pm Piga 626-677-3000 na Access code 8740052
Au Piga simu 484-751-7038



No comments:
Post a Comment