Mmoja wa washiriki katika movie mkuu wa wilaya ya Springfield bwana Kibodya akionekana ndani ya TV.
Director wa movie hiyo Mr Mhella katikati katika mapitio ya mwisho ya movie
Mmoja ya washiriki wa movie hiyo bwana Seif Akida
Washiriki wa movie hiyo wakionekana kwenye TV katika mapitio ya mwisho
Washiriki wengine katika movie hiyo wakionekana ndani ya TV
Inapendeza saaana na itakuwa kivutio pale itakavyo kuwa hewani mapema siku za usoni
Habari ndiyo hii mambo yako barabara kabisa hapa ni ndani ya TV katika mapitio washiriki wakiwa pamoja.
1 comment:
tunaisubiri kwa hamu hiyo movie
Post a Comment