
Ommy Dimpoz akiwa Nyumbani kwa Mr and Mrs Matope (Familia ya Miss Temeke) akipata Dinner
Nyumbani kwa Miss Temeke ambapo Dimpoz alialikwa akiwa pamoja na Promoter wake na Wageni wengine waalikwa.Dinner hiyo ilihudhuriwa na watu wa karibu wa Miss Temeke ambao walifurahia dinner pia kupata fulsa ya kuchat one on one na Superstar huyo.

Ommy Dimpoz akiwa na Mr Matope mume wa Miss Temeke wakipata Dinner

Familia ya Mr Matope katika picha ya pamoja na Dimpoz

KWA PICHA ZAIDI BOFYA
3 comments:
What is the big deal?
YAP!! NILIDHANI UTASEMA DIMPOZ KAPEWA CHECK YA $1 MILLION APELEKE KWA WAZIRI WA ELIMU KUNUNUA VITABU NA MADAWATI!! DJ HIVI VICHWA VYA HABARI UNAVYOWEKA VITASHUSHA HADHI BLOG HII! PLEASE UNGEWEKA PICHA UKASEMA DIMPOZ AHUDHURIA DINNER ALIYOALIKWA NA MTANZANIA ANAYEISHI MARYLAND NA KUMTAJA JINA LAKE. WE NEED TO CHANGE!
Hana jipya huyo
Post a Comment