JOKATE AFUNGUKA KUHUSU UHUSIANO WAKE NA DIAMOND, HASHEEM
6 comments:
Anonymous
said...
She needs to take public speaking classes as soon as possible!!!!! Am sorry the truth is, she can't talk like that being the celebrity that she is!!!! Nimesikitika sana na matamshi yake ! Kama kioo cha jamii ajirudushe darasani iliasomeee public speaking itamsaidia sana kufanikisha lento lake la kuigiza na kadhalika. Asante sana, nimaoni tu ya kiroho safi kabisa!
hajui kuongea na vyombo vya habari kabisa hii marayapili namuona hata kwenye mkasi nihivyohivyo hajitambui kamani nani kwajamii yeye anahisi ndivyo alivyo laki sikweli ila upuuzi anaye fanya anajipunguzia fans hasa sasa wanje yanchi
Ni kweli kabisa kwamba sio Jokate pekee, bali kuna wasanii wengi wa kibongo ambao hawana uwezo wa kuwasiliana na hadhira kupitia vyombo vya habari. Jambo ambalo ni tatizo sana tukijua kuwa soko lao hutegemeana sana na jinsi wanavyowasilisha kwa jamii.
English ziro mama. Mikono too much, laughing shows uncomfortability. Thinking too much and not being yourself. Njoo majuu uende community college year one utakuwa poa mnye public speaking. Takulipia karo!!
Ni kweli kabisa wenzanhu mliotangulia. Sielewi ni kwa Nini hawa wanaojiita Ma-Star wetu wa Bongo wanapenda kuongea na Kuchanganyachanganya Lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Kwa nini??? Kama lugha ya Kiswahili ndiyo unayoweza kujieleza ni bora Uitumie hiyohiyo bila kuchanganya. Mayokeo yake Wanachemsha kiasi kwamba inakuwa AIBU hata kuwasililiza. Tuache kuiga mambo ya Ma-Star wa USA ambao Kiingereza ndiyo Lugha yao. Ni wote tuu Wema na Kina Dada wengi mno wanajiabisha kwa Tabia zao, Matendo yao, huu ni Ushauri wa Bure tu kwa Dada zetu jamani!! Tujivunie Lugha yetu tiyokuwa nayo. Asanteni.

Jokate, sio lazima uongee na mikono hata kidogo! Hata bila mikono utaeleweka tu mpendwa! Good luck to you.

Post a Comment