ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 11, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI KUREKODIWA NORTH CAROLINA KESHO OCT 12, NEW YORK OCT 26


 Wanakijiwe kutoka kushoto ni Dotto Mwallongo, David Ndunguru na Jabir Jongo wakikutayarishia kipindi chako ukipendacho cha KIJIWE CHA UGHAIBUNI kitakachorushwa kesho Jumanne. 
 Wanakijiwe kutoka kushoto ni Libe Mwang'ombe, Kenyatta Mayanga na Mkwavi Mwinyikheri.

Kutokana na maombi ya wengi Wanakijiwe watakua North Carolina kesho Jumamosi Oct 12, 2013 kurekodi kipindi cha Kijiwe cha Ughaibuni wakishirikiana na Wadau wa North Carolina address ni 3216 Myra St Apt A, Durham, NC muda ni saa 9 alasiri. Wadau watakaopenda kushiriki kwenye kipindi hiki tafadhali wasiliana na David Mushi 336 693 7947 au Nassoro Basalama 415 316 5247

Pia siku ya Jumamosi Oct 26, 2013 Wanakijiwe watakua New York tunaomba wadau wajitokeze kwa wingi na watakaopenda kushiriki tafadhali wasiliana na Vijimambo New York, Ny Ebra 347 4313

Wanakijiwe tunashukuru wadau wote kwa ushirikiano mnaotupatia.

No comments: