ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 12, 2013

MATEMBEZI YA HISANI YA DAWATI NI ELIMU

Matembezi ya Dawati ni Elimu yaliyofanyika leo Oct 12, 2013 kutoka viwanja vya mnzai mmoja na kuishia shule ya msingi Bunge na Mama Salma Kikwete akiwa mgeni rasmi na kushirikisha viongozi mbalimbali wakiwemo Meya Jerry Slaa na DC Raymond Mushi.
 mgezi rasmi mama salma kikwete akifurahia zawadi yake
 Miss Ilala 2013 akiwemo mmoja ya wageni kweni matembezi ya hisani ya dawati ni elimu.
 viongozi kwenye jukwa baada ya tamati ya matembezi ya hisani ya dawati ni elimu
 baadhi ya watu waliotembea.
 DC Raymond Mushi akikaribisha wageni
 matembezi kwenya barabara ya Ohio mjini dar es salaam.
 viongozi na watu waliohudhuria wakifanya mazoezi kabla ya matembezi ya hisani ya dawati ni elimu.
 wanafunzi wa shule ya msingi ya bunge wakikaribisha mgeni rasmi
wanafunzi wakutumbuiza wageni

1 comment:

Anonymous said...

I Miss n Love My Primary School...BUNGE....Abbou Barnes