ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 12, 2013

VIONGOZI WA TAWI LA CCM CHICAGO WAFANYA KIKAO KUPANGA MIKAKATI YA TAWI

Mwenyekiti wa tawi la CCM Chicago, Tina Lupembe akiongoza kikao cha viongozi wa tawi kilichafanyika Ijumaa Oct 11, 2013 Chicago kujadili mambo mbalimbali ikiwemo mikakati ya kuimarisha tawi hilo lililofunguliwa na Mhe. Mwigulu Nchemba Sept 21, 2013 mjini humo.
Viongozi wa tawi wakiendelea na kikao chao cha viongozi kilichofanyika Ijumaa jioni kujadili mambo mbalimbali ya kuimarisha tawi hilo.
Mwenyekiti akiwa na viongozi wenzake kwenye kikao cha tawi la CCM Chicago kilichafanyika Ijumaa jioni kujadili mambo mbalimbali na kuweka mikakati ya kuimarisha tawi ilo.
Mmoja wa kiongozi wa tawi akichangia jambo kwenye kikao cha viongozi wa tawi la CCM Chacago kilichofanyika Ijumaa jioni ya Oct 11, 2013 mjini humo.

Kikao kikiendelea na mmoja wa kiongozi akichangia jambo kwenye mkutano wa viongozi wa tawi la CCM Chikago wakati wa kikao cha viongozi wa tawi hilo ulipokutana kwa kikao cha kujadili mambo mbalimbali ikiwemo mikakati ya kuimarisha tawi hilo.
Mmoja wa kiongozi wa tawi la CCM Chacago akisisitiza jambo kwenye kikao cha tawi la CCM Chacago kilichafanyika Ijumaa Oct 11, 2013 mjini humo.
Juu na chini ni mwenyekiti wa tawi Tina Lupembe (kati picha juu) katika picha ya pamoja na viongozi wenzake kwenye kikao cha tawi la CCM Chicago kilichafanyika Ijumaa jioni ya Oct 11, 2013 mjini humo.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: