Kwa niaba ya familia ya Mataji. Tunapenda kuwakaribisha wote, kwenye ibada ya msiba wa mama mzazi wa Robin, Henry na Robert Mataji, itakayo fanyika siku ya Jumamosi Oct 12, 2013 Rochester, NY.
Address ni 2793 Culver Road,
Rchester, NY 14622
Address ni 2793 Culver Road,
Rchester, NY 14622
Kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa tano asubuhi na baada ya ibada tutaelekea makaburini kumpumzisha mama yetu mpendwa.
Kwa wale watakaotumia usafiri wa anga airport ni Rochester International(ROC)
Hoteli ya karibu ni Quality Inn Rochester (Chili Avenue)
1273 Chili Ave,
Rochester, NY
Kwa maelezo zaidi unaweza kupiga simu hizi;
Robin Mataji 404-583-2925
Henry Mataji 571-275-9458
Kie Mlay 240-354-8093
Ukipata ujumbe huu mtaarifu na mwenzio.
Ukipata ujumbe huu mtaarifu na mwenzio.

No comments:
Post a Comment