ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 19, 2013

MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA SIMBA LUNYAMILA AELEZEA MTANANGE WA WATANI WAJADI KESHO

Winga hatari wa zamani klabu ya Dar es salaam Young Africans Edibily Jonas Lunyamila, akimtoka beki wa zamani wa Simba Mathias Mulumba, katika mchezo wa fainali ya kombe la Hedex kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza katika miaka ya tisini, na hii ilikuwa ni muda mfupi baada ya Lunyamila kutua nchini toka nchini Ujerumani alikokuwa amekwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa, na siku hii akiwapiga Simba moja kati ya mabao mawili na lingine likifungwa na Bakari Malima kufuatia kona ya Lunyamila.

 Edibily Lunyamila anaripoti kuhusu mtanange wa Yanga na Simba unaosubiriwa kwa hamu na wapenzi wote kabumbu Watanzania wa ndani na nje ya nchi yetu. Hii hapa ripoti ya Lunyamila kuhusiana na mtanange huo

No comments: