ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 19, 2013

WEMA SEPETU ALICHOKIANDIKA KWENYE INSTAGRAM KUHUSU DIAMOND PITIA PICHA CHINI


Wema Sepetu mwenyewe anajua kwamba watu wengi wanafikiri yeye anawaza kuwa na Diamond hivi sasa, lakini ametoa majibu ya hayo mawazo kwenye hii picha. Maana ya hii picha ni kwamba watu wengi wanafikiri kwamba muda wote Diamond yupo kwenye kichwa cha Wema, lakini yeye mwenyewe anasema kwamba muda wote anafikiria pesa. Unaionaje hiyo picha?

1 comment:

Anonymous said...

sio yeye aliyetengeneza hiyo picha mbona watu wagumu kuelewa?!ni shabiki wake yeye amerepost tu mwe!