ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 19, 2013

NEW YORK TANZANIA DREAM TEAM MAZOEZI KAMA KAWAIDA JUMAPILI HII UMOJA WETU NDIYO MAFANIKIO YA TEAM YETU DAIMA MBELE AKUNA KURUDI NYUMA

Vijana wakifurahia jambo baada ya mazoezi umoja wetu ndiyo utakao jenga team imara jumapili hii kama kawaida sehem hile hile na muda ule ule mkumbushe mwenzio.
New York One akipiga jaramba tayari kujiandaa na mapambani yeyote yatakayo jitokeza
Watu wamesha iva kila idara zipo ngunguriii
Ukiona manyoya ujue pamepunyuliwa habari ndiyo hii utaipenda tu New York dream team
Bilal aka Dj kocha mchezaji akionyesha kuwa siyo Udj tu bali ata akiingia uwanjani anaweza kuonyesha kiwango chake.

2 comments:

Anonymous said...

baba tuliza ball pole pole usije ukaanguka uwanjani wache watoto damu mbichi weewe piga music tu udj okay bilal

Anonymous said...

bruce lee dj tahir bilal paul kaeni live wana new york