ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 13, 2013

MKUTANO WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV

 Juu na chini ni meza kuu ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania kwenye mkutano wa jumuiya ya Watanzania uliofanyika Mirage Hall Jumamosi Oct 12, 2013
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Idd Sandaly (kushoto) katika picha ya pamoja na mmoja ya wahudhuriaji wa mkutano wa Jumuiya ya Watanzania uliofanyika Jumamosi Oct 12, 2013
Wanajumuiya wakibadilishana mawili matatu kabla ya mkutano kuanza
Rais wa Jumiya Idd Sandaly akiongea na Wanajumuiya wachache waliohudhuria mkutano huo
Viongozi na wajumbe katika picha ya pamoja (Picha kwa hisani ya je huu ni Uungwana Blog)

No comments: