ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 13, 2013

ZIARA YA UFUNGUZI WA MATAWI YA CCM KATA YA KIJITONYAMA YAFANYIKA LEO


 Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan (katikati) akiwa na wenzake  wa kwanza kushoto ni mwenyekiti wa CCM Mkoani Dar es Salaam, Ndugu Ramadhan R. Madabida na kulia ni mwenyekiti wa CCM Kinondoni ndugu Josephine A. Mwanga walipokuwa kwenye ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge leo jioni
 Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan (kushoto) akiongea na Diwani wa Kigogo, Ndugu Richard Chengula walipokuwa kwenye ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge leo jioni
Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan akiwahutubia wananchi wa Mwenge wakati wa ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge leo jioni
Mbunge wa Donge, Zanzibar na Mwenyekiti wa UVCCM Tanzania ndugu Sadifa Juma Khamis akuwahutubia wananchi wakati wa ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge leo jioni
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Meya wa manispaa ya Kinondoni Ndugu Yusuph Mwenda akuwahutubia wananchi wakatiwa ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge leo jioni
Baadhi ya wananchi waliofika kwenye mkutano wa ufunguzi wa matawi
Wadau wakisikiliza hotuba
Wananchi wakisikiliza viongozi kwenye mkutano huo

No comments: