Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Kata ya Jangwani, Mohamed Bawazir kulia akizungumza na viongozi wa CCM pamoja na wadau wa chama hicho wa kata hiyo juu ya mustakabali mzima wa kata hiyo baada ya kuongoza ndani ya kipindi cha miezi sita kushoto Katibu Wake Majala Balawa
Baadhi ya wanachama na viongozi wa CCMwakifatilia mkutano huo
Mmoja ya wanachama wa CCM wa kata ya jangwani Maaarufu kwa jina la mlipula na Nuguze akijitambulisha kwa wanachama wenzie
wanachama wakimsikiliza mwenyekiti
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Jangwani Mohamed Bawazir kulia akiteta jambo na Katibu Wake Majala Balawa wakati wa mkutano wa mustakabali mzima wa kata hiyo baaa ya kuongoza kwa miezi sita
No comments:
Post a Comment