Advertisements

Wednesday, October 16, 2013

Rais Kikwete ashiriki Swala ya EID Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu muda mfupi baada ya kushiriki Swala ya EID iliyofanyika katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi (picha na Freddy Maro)

No comments: