Advertisements

Wednesday, October 16, 2013

Wakazi wa DSM walivyojitokeza kuuaga mwili wa mama mzazi wa Ufoo Saro hapo jana


Wakazi wa jiji la Dar Es Salaam wamejitokeza kuaga mwili wa mama mzazi wa mwandishi wa ITV Radio one Ufoo Saro marehemu Anastazia Saro katika kanisa la kiinjili la kilutheri Kibwegere Kibamba kabla ya kusafirishwa kwenda Moshi kwa mazishi.

No comments: