ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 24, 2013

TUNDA MAN- MALINZI ANAFAA TFF

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Tunda man, ameachia wimbo mpya unaowahamasisha watanzania na wadau kumpa nafasi ya Urais Jamal Malinzi, Tunda ambaye yeye mwenyewe anajua kusakata kabumbu, ameacghuia wimbo huwo maalum na kudai kwamba ni kwa maslahi ya soka la bongo. Producer wa wimbo huwo ni Manecky toka AM Record

Download na sambaza kwa wengine
kwa kuusikiliza bofya hapa

No comments: