ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 17, 2013

ULINZI WAIMALISHWA COCO BEACH SIKUKUU YA EID

Askali na mbwa wao wakiwaondoa raia waliofika Coco-Beach saa 12 jana jioni.
Raia waliofika Coco-Beach, wakielekea kwenye usafiri tayari kurudi majumbani mwao baada ya kutimuliwa na askari ufukweni hapo.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Raia wakiwa Coco-Beach jana jioni.
(PICHA NA DENIS MTIMA/GPL)

No comments: