ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 17, 2013

WATOTO WALIVYOTOKELEZEA DAR LIVE SIKUKUU YA EID

Watoto wakikata mauno ndani ya Dar Live.
Watoto wakioneshana ujuzi wa kutingisha viuno.
Wanazidi kukata mauno.
Ni raha na utamu juu.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Burudani mwanzo mwisho.
Watoto wakibembea ndani ya Dar Live.
Watoto wakiendeleza makamuzil.

(PICHA NA DENIS MTIMA/GPL)

1 comment:

Anonymous said...

Yaani haya ndio mambo tunawafundisha watoto wetu? Just sad, so sad.