Mama mwenye nyumba wa mkuu wa wilaya ya Springfield Bwana Isaac Kibodya.
Happy birthday Nyonga mkalia ini, Malkia wa nafsi, barafu ya moyo wangu. Mwenyezi Mungu akujaalie uhai mrefu, ujawe na moyo wa mapenzi na huruma kwa watu wote. Uishi kwa kufuata kitabu kila siku ya maisha yako. Nisingeitwa mjomba kama si wewe, nisingeitwa bwana kama hukuja kwenye maisha yangu. Ujumbe kutoka kwa baba mwenye nyumba.


2 comments:
mungu akupe umri mrefu na akutimizie malengo yako inshallah
Happy bday wifi yetu mola akupe umri mrefu wenye furaha teleeee
Post a Comment