ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 10, 2013

KIMBUNGA 'HAIYAN' CHADAIWA KUUWA ZAIDI YA WATU 10,000 NCHINI PHILIPPINES, VIETNAM NA CHINA WAANZA KUJIPANGA

Kijana akiangalia maafa yaliyosababishwa na kimbunga jijini Tacloban nchini Philippines.
Nyumba pamoja na boti vikiwa vimeharibiwa eneo la Iloilo nchini Philippines.
Jiji la Tacloban nchini Philippines baada ya kukumbwa na kimbunga 'Haiyan'. 
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mama huyu akiwa katika jengo lililobomolewa na kimbunga.
Mtoto akijaribu kumpatia msaada mwenzake baada ya kimbunga hicho jijini Tacloban.
Gari likiwa limepinduka baada ya kimbunga jijini Tacloban.
Famili hii ikijaribu kujihifadhi wakati wa kimbunga eneo la vijijini nchini Philippines.
Wananchi wa Philippines wakisubiri misaada katika jiji la Sorsogon.
Wanajeshi nchini Vietnam wakiwashusha wananchi kutoka kwenye lori wakati wakiwahamishia katika maeneo salama kujikimga na kimbunga.
Wakazi wa Phu Yen, Vietnam, wakiandaa viroba vya mchanga kwa ajili ya kuweka juu ya paa za nyumba zao kujikinga na kimbunga.
Wafanyakazi wa Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Vietnam wakiweka mifuko ya mchanga juu ya paa za nyumba ikiwa ni tahadhari dhidi ya kimbunga.
Wavuvi wakiondoa boti zao katika fukwe nchini Vietnam ikiwa ni tahadhari ya kimbunga.
(PICHA ZOTE: EPA, AP NA REUTES)

No comments: