ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 5, 2013

KUTOKANA NA MATATIZO YA UFUNDI KIJIWE CHA UGHAIBUNI KURUSHWA KESHO JUMATANO

Washiriki wa kijiwe cha ughaibuni wakichangia hoja kwenye kipindi cha Kijiwe cha Ughaibuni kilichorekodiwa New York Jumamosi Oct 26, 2013 na kitaenda hewani kesho Jumatano November 6, 2013 badala la leo Jumanne kutokana na matatizo ya ufundi yaliyokuwa nje ya uwezo wetu Kruu nzima ya Kijiwe cha Ughaibuni tunaomba radhi kwa usumbufu wote utakaotokea.
Mambo yalikuwa kama hivi unavyoona kwenye picha mjadala ukiendelea.

3 comments:

Anonymous said...

enzi za zamani kipindi hiki kili kuwa kizuri sana kwa ajili ya kina mwaipaje na yassin randi watu wakawaida sisi tulikuwa tuna enjoy sana kwa maneno yao wakaja mafisadi wakajidai wasomi na kukibadiisha hiki kipindi sasa kimekuwa kipindi cha kisomi utafikiri tuko darasani tunafundishwa wakati ilikuwa kinatakiwa kiwe burudani na kupata hapo pia elimu.
watu wakawaida wenzangu na mimi hatua tena nafasi za kusema ukingalia utaona kinalengwa kila leo kwa wasomi si vibaya lakini munagaliye na wenginewe sio kuwazarau kusoma si kupata kupata majaaliwa na wanaokitangaza kipindi hiki mmejisahau kwani mmesoma wenzangu a miye mbona mnajibabajua na wasomi kwa kipi

Anonymous said...

enzi za kina yassin randi na mwaipaje kipindi kilikuwa burudani tosha sasa kimekuwa kama tumo darasani na walimu kutusomesha burudani si vibaya kujua mambo kutoka kwa wataalamu na pia si vibaya kujua mambo kutoka kwa watu wa kawaida wapiga boksi kama mimi na kuburudika michango ya wote ndo inahitajiwa siyo kila kitu kisomo cha hali ya juu kuna mmabo ya kuburudisha na kukoga nafsi ndo maana kuna music,movies etc entertainment zipo kwa ajili ya kuburudika wakati kichwa kinachemmka na moto

Anonymous said...

Kweli kabisa maana ya kijiwe cha ughaibuni imekwisha maana yake kabisa kijiwe maanake ni vichekesho vitu na maneno maneno ya mtaani kuliko sshv watu wanavakia suri bana na pahali pazuri Mimi nakataaa hii na most if ppl hawaipendi tena sio Kama mwanzo mlikua mbaya watu mbavu Mimi naprefere hawa watu warudi Kwenye kipindi chety Benja, jabir jongo,yassin,Dula yoo, hao ndio wachekwshaji orijino na maarufu kabla hata ya kijiwe kila sehemu ukienda lazima ucheke sanaaa ukiwakuta na hata kuko out of state watafute makomediani Kama hao tafadhali other than than kipindi chako rate imeshuka mno.