ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 7, 2013

MCHUNGAJI ATOA MAPEPO SEHEM ZA SIRI KAZI KWELI KWELI SIYO MOVIE KITU UKWELI MTUPU

Katika mtazamo wa haraka haraka yawezekana ikaonekana kama filamu au mchezo wa kuigiza vili. La hii ni kweli imetokea huko pande za Nigeria, ambapo kuna mtumishi mmoja amekuwa akijipatia umaarufu kwa kuwatoa wanawake mapepo kunako sehemu za siri.

1 comment:

Anonymous said...

hivi ni kweli hamjui kama mchungaji huyo ni tapeli na mdanganyifu kwani anachotumia ni mafuta ya mkunazi na zaituni(mafuta ya radi)na c nguvu ya yesu kama anavyojifanya kudai? tumechoka na uongo wa mabwge hawa