SIKILIZA HOTUBA YA RAISI KIKWETE LEO AKIWA BUNGENI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akilihutubia Bunge mjini Dodoma leo.
Rais Jakaya Kikwete akiendelea kulihutubia Bunge..........
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal,akiwasili katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo kusikiliza Hotuba ya Rais.
1 comment:
Anonymous
said...
Hutuba nzuri, kitu ambacho sielewi, jinsi gani sisi Tanzania tutakua kwenye jumuia ambayo hawataki kushirikaana na sisi?
infrastructure wise nadhani Tanzania inachwa behind, kwanini nchi nyengine zinapata hizi infrastructure kwao na hakuna ambazo zinapita tanzania, najua ameongelea kuhusu barabara flani arunsha na kwengineko lakini i do not see future plans za kuimarisha na kujenga hizo infrastructure Tanzania
Pia kitu kimoja nadhania nigechangia, kwannini sisi Tanzania kila siku hatuko tayari kwa maendelea, "wafanye waliotayari" hichi kitu naona kinatuponza kwa hawa wenzetu mpaka wanatuona hatuko serious na kutaka maeendeleo.
Mimi nadhani ni muhimu kuwa na wawakilishi kwenye jumuia ya EA wanaofight kwa corner ya Tanzania, we all know kila nchi inavutia kitambaa upande wake, we to have a good to have these developments in our country, kwani wote tunajua tunahitaji KAZI kwa wananchi wetu.
Pia serikali inabidi iangalie hizi companies zinazokuja kujenga vitu Tanzania. 90% ya wafanyakazi ni wachina kama company inatoka china, nadhani better deals need to be done here, at least 60% ya wafanyaka wawe watanzania basi.

Post a Comment