Bila shaka utakuwa na kumbukumbu nzuri ya kisa cha Amos na Mary, watoto wadogo mkoani Dodoma waliofunga ndoa hivi karibuni. Baada ya miezi michache kupita, kipindi cha Wanawake Live kilipata nafasi ya kuonana na wazazi wa watoto wale na wakawa na mengi ya kuzungumza. Je, unafahamu wamezungumza nini?
Fuatilia hapa
No comments:
Post a Comment