Advertisements

Thursday, November 7, 2013

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika aongea na Watanzania (Sehemu ya Kwanza)


Urban Pulse Creative Media, Freddy Macha wakishirikina na Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza wanakuletea video ya ziara ya Mh. Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza pamoja na ujumbe wake walipokutana na kuzungumza na Watanzania Ubalozini, London , Jumatano tarehe 23 Octoba 2013.

No comments: