Advertisements

Saturday, December 7, 2013

JANET PINDA ATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMILI LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kulia) wakiwa na Binti yao Janet Pinda ambaye alitunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe yaliyofanyika Chuoni hapo mjini Morogoro Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda (kulia) akipongezwa na wadogozake, Nasirika Nyema (wapili kulia) na Namsi Pinda (kushoto) baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro, Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda (Kulia) akipongezwa na mdogo wake Nasirika Nyema baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Mjini Morogoro Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda akipongezwa na shangazi yake , Beatha Pinda Kaitira (kushoto) baada ya kutunukiwa shahada ya uzamili ya uongozi katika mifumo ya afya kwenye mahafali ya chuo kikuu cha mzumbe mjini Morogoro December 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: