ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 14, 2013

Maandalizi ya Uzinduzi Wa Machapta Inc,

Maandalizi ya Uzinduzi Wa Machapta Inc, Lebo iliyo chini ya kampuni ya Machapta Production. Kwa mara ya kwanza Lebo hiyo inazindua Video ya msanii wakwanza kuingia mkataba na kampuni hiyo na Machapta Inc.
Chismo,Alianza muziki akiwa dansa na alifanya kazi kwa Bob Junior na baadaye akaenda kwa Dully Sykes kisha kuungana na Baby J. Amewahi kufanya kazi na wasanii Tundaman pamoja na Rich Mavoco.

Hii ndiyo sehem ya kupigia picha iliyo andaliwa kwa wageni, Tunapenda kuku karibisha Maisha Club Jumapili Hii,
Kutakuwa na red carpet kwa ajili ya wageni na coktel free karibu sana wewe ndiye mdau wetu wa nguvu

No comments: