Jeneza lenye mwili wa Mandela likiwa makaburini.
Jeneza lenye mwili wa Hayati Nelson Mandela likipelekwa makaburini tayari kwa maziko.
Hapa ndipo Hayati Nelson Mandela atakapozikwa.
Oprah Winfrey naye ni miongoni mwa waombolezaji. Hapa akielekea eneo la makaburi.
Askofu Desmond Mpilo Tutu ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa marehemu Mandela naye akielekea eneo la makaburi.
Jeneza baada ya kuwasili eneo la makaburi. Hapa likifunguliwa kutoka kwenye gari maalum. GPL






1 comment:
mungu ailaze rohoo ya mzee wetu mandela mahala pema peponi pamoja na ya mwalimu nyerere ameen,alafu Dj luke nilikua nauliza kuna bibi mmoja apo DMV yeye kila mtu ni ndugu yake juzijuzi kuna kijana alifariki ,akasema ni ndugu yake na yeye anaasili ya south Africa kwa hiyo nilikua na check anaundugu na mzee Madiba vilevile ?maana akawii ni swali tuu DJ luke .
Post a Comment