ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 15, 2013

WANANDUGU WA BABA NA MAMA MMOJA WAKUTANA DMV

Kushoto ni aliyekuwa golikipa wa Timu ya Pamba enzi hizo Paul Rwechungura katika picha ya pamoja na Peter Mdogo wake na dada yake Mary anayeishi Minnesota, Paul na Peter wanaishi Pennsylvania, wanandugu hao walikutana DMV kwenye sherehe ya harusi ya Oscar na Doris iliyofanyika Jumamosi Germantown, Maryland nchini Marekani

No comments: