ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 15, 2014

MOJA YA KIKWANGUA ANGA KITAKACHOKUWA KIVUTIO KATIKA JIJI LA ARUSHA

Mfuko wa PPF unaendelea na uwekezaji katika miradi ya ujenzi na kwa sasa kuna jengo kubwa linaendelea na ujenzi wake katika Barabara ya Old Moshi Jijini Arusha. Jengo hilo ni kwa ajili ya huduma za kibiashara na ofisi mbalimbali. Jengo hilo linatazamiwa kuonekana kama picha inavyoonesha pindi likikamilika mwishoni mwa mwaka 2015.

No comments: