Juu na chini ni Loveness Mamuya na mama wa marehemu kwenye msiba wa mpendwa wetu nyumbani kwao Ukonga Banana, Dar es Salaam Leo Jumatatu Jan 6, 2014
Wadogo wa marehemu wakiwa na sura za huzuni
Majirani, ndugu, jamaa na marafiki wa karibu na familia wakijumuika pamoja nyumbani kwa marehemu Ukonga Banana, Dar es Salaam, Tanzania leo Jumatatu Jan 6, 2014.




1 comment:
Inna lillahi wa inna illayhi rajiun. Poleni sana kwa msiba ndugu zangu. Tunaomba maelekezo ya kufika hapo banana ukonga msibani tukajumuike na wafiwa.
Post a Comment