ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 6, 2014

SALAAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA TAWI LA CCM CHICAGO & MIDWEST

Tawi la CCM- Chicago na midwest, limepokea kwa huzuni kubwa taarifa za msiba wa kada mwenzatu wa Tawi CCM -DMV Miss Zainabu Buzohera,kilichotokea siku ya Jummosi Jan 4th saa Mbili usiku.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi. Sisi Tulimpenda lakini Mungu alimpenda zaidi.

No comments: