Tawi la CCM California, Limepokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha Kada mwenzetu Bi Zainabu Buzohela Dullah kulichotokea DMV Jana Tarehe 4, Januari 2014
Tunaungana na Watanzania wote wa hapa Marekani na Duniani kwote kuwapa pole familia ya Marehemu na kusisitiza tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu cha Msiba wetu sote
Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema ailaze mahala pema peponi roho ya Marehemu Bi Zainabu Buzohela Dullah na awape moyo wa uvumilivu na ujasiri wanafamilia, ndugu na jamaa wa Marehemu katika kipindi chote cha maombolezo.

No comments:
Post a Comment