ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 9, 2014

Watoto 3 wa familia moja wamefariki baada ya kugongwa na basi la Mtei wakiwa kwenye pikipiki.

Watoto watatu wa familia moja ambao walikuwa wamepanda pikipiki wamekufa baada ya kugongwa na basi la Mtei express katika njia kuu itokayo Singida hadi Arusha ambapo baada ya tukio hilo wananchi wenye hasira waliamua kulichoma moto basi hilo.

No comments: